Skip to main content

MIF YAHITIMISHA MAFUNZO YA SIKU TANO YA UOKAJI KWA WANAWAKE NA VIJANA

Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) imehitimisha kwa mafanikio mafunzo ya siku tano ya uokaji yaliyolenga kuwawezesha wanawake na vijana kupata ujuzi wa vitendo utakaowasaidia kujiajiri, kuongeza kipato na kuchangia maendeleo ya kiuchumi ya jamii.

Kampeni ya Elimu ya Nishati Safi ya Kupikia na Uhifadhi wa Mazingira Yaibua Mwanga Mpya kwa Jamii ya Muungoni

MIF kwa kushirikiana na Pamoja Youth Initiatives imeendesha kampeni ya elimu kuhusu nishati safi ya kupikia na uhifadhi wa mazingira katika Shehia ya Muungoni, kwa lengo la kuhamasisha jamii kuachana na matumizi ya kuni na mkaa na kuhamia kwenye matumizi ya nishati safi ambayo ni salama kwa afya, rafiki kwa mazingira na yenye mchango mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi.

MIF na CONAMET Zatia Saini Mkataba wa Ushirikiano Kuimarisha Huduma za Afya na Maendeleo

MIF na CONAMET zimesaini Hati ya Makubaliano (MOU) ya kushirikiana katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo, kwa kuzingatia zaidi sekta ya afya.

kuadhimisha Siku ya Hedhi Duniani

Katika kuadhimisha Siku ya Hedhi Duniani, Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) iligawa Taulo za Kike 500 kwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bi. Siti Abasi Ali na 500 nyengine alikabidhiwa Afisa Elimu Wilaya ya Magharibi B, kwa wanafunzi wa kike katika shule za wilaya ya Magharibi. Jumla ya Taulo zote ni 1000

International Baking & Entrepreneurship Workshop

Mwanamke Initiatives Foundation, in collaboration with international bakery professionals, proudly announces the International Baking & Entrepreneurship Training Workshop aimed at empowering women and youth through practical baking skills and entrepreneurship education.
Legal Officer
Legal Officer
Arafa Zubeir Marzuk is a Legal Officer at MIF, where she is responsible for overseeing all legal matters within the foundation, ensuring compliance with applicable laws, regulations, and internal policies. She provides legal advice, reviews and drafts contracts, and supports the foundation in managing legal and regulatory risks.
Programme manager
Programme manager
Adventina Emmanuel Grevas is the Programme manager for the Bungi Students Learning Center (SLC Project), where she leads the design and implementation of innovative learning programmes that enhance students’ academic performance, digital literacy, and soft skills.
Office Hygiene Supervisor
Office Hygiene Supervisor
Amina is a dedicated and hard-working domestic staff member known for her reliability, honesty, and strong work ethic. With experience in household management, cleaning, and daily support services, she plays an important role in maintaining a clean, safe, and comfortable environment.
Program Manager
Program Manager
Adventina Emmanuel Grevas is the Program Manager for the Bungi Students Learning Center (SLC Project), where she leads the design and implementation of innovative learning programs that enhance students’ academic performance, digital literacy, and soft skills.

Empowering Shehas with Mental Health Knowledge for Stronger Communities

Today we continued with Mental Health

Subscribe to